Wilaya ya Murang'a

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Muranga)


Wilaya ya Murang'a
Mahali paWilaya ya Murang'a
Mahali paWilaya ya Murang'a
Mahali pa Wilaya ya Murang'a katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Murang'a
Eneo
 - Jumla 2,325.8 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 942,581
Shamba la chai katika eneo la Murang'a

Wilaya ya Murang'a ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kati wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Murang'a.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Murang'a.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Murang'a kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.