Orodha ya Makardinali
Mandhari
(Elekezwa kutoka Orodha ya Makardinali ya kanisa katoliki)
Orodha ya makardinali wa Kanisa Katoliki huonyesha makardinali wote ambao walikuwepo tarehe 24 Novemba 2007.
Papa ana haki ya kumteua kardinali bila ya kutangaza jina lake. Uteuzi huu huitwa "in pectore" (kilatini "moyoni"). Hii inaweza kutokea hasa kama ni kardinali kutoka nchi pasipo uhuru wa kidini au nchi ambayo haina uhusiano mzuri na kanisa katoliki. Tarehe hii hakuwepo yeyote wa namna hiyo.
Majina yamepangwa kufuatana na bara na nchi.