Georgia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|af}} (4) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 15: Mstari 15:
|government_type = [[Jamhuri]]
|government_type = [[Jamhuri]]
|leader_titles = [[Rais]]<br />[[Waziri Mkuu]]
|leader_titles = [[Rais]]<br />[[Waziri Mkuu]]
|leader_names = [[Mikheil Saakashvili]]<br />[[Nikoloz Gilauri]]
|leader_names = [[Giorgi Margvelashvili]]<br />[[Irakli Garibashvili]]
|area_rank = ya 121
|area_rank = ya 120
|area_magnitude = 1 E10
|area_magnitude = 1 E10
|area = 69,700
|area = 69,420
|areami² = 26,912 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|areami² = 26,911 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|percent_water =
|percent_water =
|population_estimate = 4,935,880<ref>[[CIA World Factbook]], [https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/gg.html]</ref>
|population_estimate = 3,729,500<ref>"Number of Population as of January 1, 2015 — National Statistics Office of Georgia" (PDF). Retrieved 1 May 2015.</ref>
|population_estimate_rank = ya 119<sup>1</sup>
|population_estimate_rank = ya 131<sup>1</sup>
|population_estimate_year = 2013
|population_estimate_year = 2015
|population_census =
|population_census = 3,729,635
|population_census_year =
|population_census_year = 2014
|population_density = 70.8
|population_density = 53.5
|population_densitymi² = 173.4 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|population_densitymi² = 138.6 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|population_density_rank = 137
|population_density_rank = 137
|GDP_PPP = $17.79 billioni
|GDP_PPP = $17.79 billioni
Mstari 52: Mstari 52:
|footnotes = <sup>1</sup> Population figure excludes [[Abkhazia]] and [[South Ossetia]].
|footnotes = <sup>1</sup> Population figure excludes [[Abkhazia]] and [[South Ossetia]].
}}
}}
[[Picha:Gg-map.png|left|thumb|300px|Ramani ya Georgia]]
[[Picha:Gg-map.png|right|thumb|300px|Ramani ya Georgia]]
'''Georgia''' (kwa [[Kigeorgia]]: საქართველო ''"Sakartvelo"'') ni nchi ya [[Kaukazi]] kati ya [[Ulaya]] na [[Asia]] kwenye [[mwambao]] wa [[Bahari Nyeusi]]. Imepakana na [[Urusi]], [[Uturuki]], [[Armenia]] na [[Azerbaijan]].
'''Georgia''' (kwa [[Kigeorgia]]: საქართველო ''"Sakartvelo"'') ni nchi ya [[Kaukazi]] kati ya [[Ulaya]] na [[Asia]] kwenye [[mwambao]] wa [[Bahari Nyeusi]].


Imepakana na [[Urusi]], [[Uturuki]], [[Armenia]] na [[Azerbaijan]].
Georgia ilikuwa sehemu ya [[Umoja wa Kisovyeti]] lakini imekuwa [[nchi huru]] ya kujitegemea tangu [[1991]].


Mji mkuu ni [[Tbilisi]].
[[Mji mkuu]] ni [[Tbilisi]].


== Jiografia ==
== Jiografia ==
Mstari 65: Mstari 65:


Maeneo ya [[Abkhazia]] na [[Ossetia ya Kusini]] yamedai [[uhuru]] na kwa sasa hayapo chini ya [[serikali]] kuu.
Maeneo ya [[Abkhazia]] na [[Ossetia ya Kusini]] yamedai [[uhuru]] na kwa sasa hayapo chini ya [[serikali]] kuu.

==Historia==
Georgia ilikuwa sehemu ya [[Umoja wa Kisovyeti]] lakini imekuwa [[nchi huru]] tangu [[1991]].


== Utamaduni ==
== Utamaduni ==
Georgia ina wakazi milioni 4.5. Zaidi ya milioni 1 hukaa mjini Tbilisi.
Georgia ina wakazi [[milioni]] 4.5. Zaidi ya milioni 1 hukaa [[Mji|mjini]] Tbilisi.


Wakazi walio wengi (71%) husema [[Kigeorgia]] lakini kuna vikundi vya wasemaji wa [[Kirusi]] (9%), [[Kiarmenia]] (7%), [[Kiazeri]] (6%) na [[lugha]] nyingine.
Wakazi walio wengi (71%) husema [[Kigeorgia]] lakini kuna vikundi vya wasemaji wa [[Kirusi]] (9%), [[Kiarmenia]] (7%), [[Kiazeri]] (6%) na [[lugha]] nyingine.


Wageorgia wengi ni [[Wakristo]] wanaofuata [[Kanisa la Orthodoksi la Georgia]] (83.9%). Kuna pia wafuasi wa [[Kanisa la Kitume la Armenia]] (3.9%) na Wakatoliki (0.8%). [[Waislamu]] ni 9.9%, wakati [[Wayahudi]] wanazidi kuhama.
Wageorgia wengi ni [[Wakristo]] wanaofuata [[Kanisa la Kiorthodoksi la Georgia]] (83.9%). Kuna pia wafuasi wa [[Kanisa la Kitume la Armenia]] (3.9%) na [[Wakatoliki]] (0.8%). [[Waislamu]] ni 9.9%, wakati [[Wayahudi]] wanazidi kuhama.


==Watu maarufu==
==Watu maarufu==
Mstari 80: Mstari 83:


== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
{commons}}
* [http://www.tourism.gov.ge/geo/ Idara ya utalii ya Georgia]
* [http://www.tourism.gov.ge/geo/ Idara ya utalii ya Georgia]
* [http://www.government.gov.ge/eng/ Serikali ya Georgia]
* [http://www.government.gov.ge/eng/ Serikali ya Georgia]
Mstari 85: Mstari 89:


{{Ulaya}}
{{Ulaya}}
{{asia}}
{{Asia}}
{{commons}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}
{{mbegu-jio-Asia}}
{{mbegu-jio-Asia}}

Pitio la 07:57, 23 Oktoba 2015

Georgia
Ramani ya Georgia

Georgia (kwa Kigeorgia: საქართველო "Sakartvelo") ni nchi ya Kaukazi kati ya Ulaya na Asia kwenye mwambao wa Bahari Nyeusi.

Imepakana na Urusi, Uturuki, Armenia na Azerbaijan.

Mji mkuu ni Tbilisi.

Jiografia

Georgia ni hasa nchi ya milima ya Kaukazi inayofikia kimo cha mita 5,068. Kati ya safu mbili za milima kuna tambarare ya Kolkhis.

Upande wa magharibi unaathiriwa na Bahari Nyeusi: una hali ya hewa poa na mvua nyingi inayofaa kwa kilimo hasa cha mizabibu.

Maeneo ya Abkhazia na Ossetia ya Kusini yamedai uhuru na kwa sasa hayapo chini ya serikali kuu.

Historia

Georgia ilikuwa sehemu ya Umoja wa Kisovyeti lakini imekuwa nchi huru tangu 1991.

Utamaduni

Georgia ina wakazi milioni 4.5. Zaidi ya milioni 1 hukaa mjini Tbilisi.

Wakazi walio wengi (71%) husema Kigeorgia lakini kuna vikundi vya wasemaji wa Kirusi (9%), Kiarmenia (7%), Kiazeri (6%) na lugha nyingine.

Wageorgia wengi ni Wakristo wanaofuata Kanisa la Kiorthodoksi la Georgia (83.9%). Kuna pia wafuasi wa Kanisa la Kitume la Armenia (3.9%) na Wakatoliki (0.8%). Waislamu ni 9.9%, wakati Wayahudi wanazidi kuhama.

Watu maarufu

Mgeorgia anayejulikana zaidi duniani alikuwa Josef Stalin, mtawala wa Urusi wakati wa Ukomunisti.

Tanbihi

Viungo vya nje

{commons}}

Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.


Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Georgia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Georgia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.