Georgia : Tofauti kati ya masahihisho
d Roboti: Imeongeza bxr:Гүрж |
d r2.7.2) (roboti Nyongeza: min:Georgia |
||
Mstari 194: | Mstari 194: | ||
[[mhr:Грузий]] |
[[mhr:Грузий]] |
||
[[mi:Hōria]] |
[[mi:Hōria]] |
||
[[min:Georgia]] |
|||
[[mk:Грузија]] |
[[mk:Грузија]] |
||
[[ml:ജോർജ്ജിയ]] |
[[ml:ജോർജ്ജിയ]] |
Pitio la 20:06, 10 Februari 2013
Georgia |
---|
Georgia (Kigeorgia: საქართველო "Sakartvelo") ni nchi ya Kaukazi kati ya Ulaya na Asia kwenye mwambao wa Bahari Nyeusi. Imepakana na Urusi, Uturuki, Armenia na Azerbaijan. Georgia ilikuwa sehemu ya Umoja wa Kisovyeti lakini imekuwa nchi huru ya kujitegemea tangu 1991. Mji mkuu ni Tbilisi.
Jiografia
Georgia ni hasa nchi ya milima ya Kaukazi inayofikia kimo cha 5,068 m. Kati ya safu mbili za milima kuna tambarare ya Kolkhis. Upande wa magharibi unaathiriwa na Bahari Nyeusi una hali ya hewa poa na mvua nyingi inayofaa kwa kilimo na hasa mizabibu.
Maeneo ya Abkhazia na Ossetia ya Kusini yamedai uhuru na kwa sasa hayapo chini ya serikali kuu.
Utamaduni
Georgia ina wakazi milioni 4.5. Zaidi ya milioni 1 hukaa Tbilisi. Wakazi walio wengi husema Kigeorgia lakini kuna vikundi vya wasemaji wa Kirusi, Kiarmenia, Kiazeri na wengine.
Wageorgia wengi ni Wakristo wanaofuata Kanisa la Orthodoksi la Georgia. Kuna pia Waislamu (9%) na Wayahudi.
Mgeorgia anayejulikana zaidi duniani alikuwa Josef Stalin.
Marejeo chini ya ukurasa
Viungo vya Nje
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Georgia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Georgia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |