Orodha ya migogoro barani Afrika
Mandhari
Orodha ya migogoro barani Afrika (imepangwa kwa nchi) si kamilifu, ikiwa ni pamoja na:
- Vita kati ya mataifa ya Afrika
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya mataifa ya Afrika
- Vita vya ukoloni katika Afrika
- Vita vya kupigania uhuru vya mataifa ya Afrika
- Migogoro ya kujitenga katika Afrika
- Matokeo makuu ya vurugu (maandamano, mauaji ya kinyama, nk) katika mataifa ya Afrika
- Vita vya Waingereza na Wazulu
- Vita vya mpakani vya Cape
- Mapigano ya Blood River
- Mapigano ya Blaauwberg
- Vita vya kwanza vya Makaburu
- Vita vya pili vya Makaburu
- Mauaji ya Sharpeville
- Mapinduzi ya Soweto
- Vita vya mpakani vya Afrika Kusini
- Kampeni ya Afrika Kusini-Magharibi (Vita vya Kwanza vya Dunia)
- Mauaji ya Weenen
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Wazulu
- Vita vya Algeria
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Algeria
- Kampeni ya Afrika Kaskazini (Vita vya Pili vya Dunia)
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Chad
- Vita vya kwanza vya wenyewe kwa wenyewe vya Chad (vilipelekea Libya kuingilia)
- Vita vya pili vya wenyewe kwa wenyewe vya Chad (pia vinahusisha Sudan)
- Vita vya kwanza vya Italia na Ethiopia
- Vita vya pili vya Italia na Ethiopia
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Pili vya Dunia)
- Vita vya uhuru vya Eritrea
- Vita vya Eritrea na Ethiopia
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Pili vya Dunia)
- Vita vya uhuru vya Eritrea
- Vita vya Ethiopia na Adal
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Ethiopia
- Vita vya Eritrea na Ethiopia
- Msafara kuelekea Ethiopia wa 1868
- Vita vya kwanza vya Italia na Ethiopia
- Vita vya Ogaden
- Vita vya pili vya Italia na Ethiopia
- Vita vya Gambia
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Gambia
- Vita vya pili vya wenyewe kwa wenyewe vya Gambia
- Kampeni ya Afrika Magharibi (Vita vya Kwanza vya Dunia)
- Kampeni ya Afrika Magharibi (Vita vya Pili vya Dunia)
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Kwanza vya Dunia)
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Pili vya Dunia)
- Uasi wa Mau mau (1952-1960)
- Vita vya Shifta (1963-1967)
- Mauaji ya Turbi (2005)
- Mgogoro wa Kenya wa 2007-2008
Kongo-Brazzaville (Jamhuri ya Kongo)
[hariri | hariri chanzo]Kongo-Kinshasa (Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo)
[hariri | hariri chanzo]- Vita vya kwanza vya wenyewe kwa wenyewe vya Liberia
- Vita vya pili vya wenyewe kwa wenyewe vya Liberia
- Mzozo wa Chad na Libya
- Vita vya Italia na Uturuki
- Vita vya Libya na Misri
- Kampeni ya Afrika Kaskazini (Vita vya Pili vya Dunia)
- Mapigano ya Madagaska (Vita vya Pili vya Dunia)
- Uasi wa Madagascar
- Ugomvi wa Waarabu na Israeli
- Vita vya Uarabuni na Israel (1948)
- Vita vya Libya na Misri
- Vita Ya Mahdi
- Kampeni ya Afrika Kaskazini (Vita vya Pili vya Dunia)
- Vita vya Siku Sita
- Mzozo wa Suez
- Vita vya Yom Kippur
- Kampeni ya Afrika Kaskazini (Vita vya Kwanza vya Dunia)
- Vita vya Hispania na Moroko (1859)
- Vita vya Rif
- Vita vya Mchanga
- Mzozo wa Sahara ya Magharibi
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Kwanza vya Dunia)
- Vita vya Uhuru vya Msumbiji
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Msumbiji
- Mauaji ya Halaiki ya Herero
- Vita vya uhuru vya Namibia
- Kampeni ya Afrika ya Kusini-Magharibi (Vita vya Kwanza vya Dunia)
- Mzozo wa Casamance
- Vita vya Mpakani vya Mauritania na Senegal
- Kampeni ya Afrika Magharibi (Vita vya Pili vya Dunia)
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Pili vya Dunia)
- Vita vya Ogaden
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Somalia
- Vita nchini Somalia 2006-hadi leo
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Pili vya Dunia)
- Vita ya Mahdi
- Vita vya kwanza vya wenyewe kwa wenyewe vya Sudan
- Vita vya pili vya wenyewe kwa wenyewe vya Sudan
- Mgogoro wa Darfur
- Mgogoro wa Chad na Sudan
- Vita vya Abushiri
- Vita vya Uingereza dhidi ya Zanzibar
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Kwanza vya Dunia)
- Vita vya Maji Maji
- Vita vya Kagera
- Mapinduzi ya Zanzibar (1964)
- Mapinduzi ya Uganda ya 1971
- Operesheni ya Entebbe (1976)
- Vita vya Kagera (1978-1979)
- Kuanguka kwa Kampala (1979)
- Uganda National Rescue Front (1980-1985)
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Uganda (1982-1986)
- Uganda People's Democratic Army (1986-1988)
- Harakati ya Roho Mtakatifu (1986-1987)
- Lord's Resistance Army (1987-hadi leo)
- Allied Democratic Forces (1996-?)
- Uganda National Rescue Front ya II (1996-2002)
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Kwanza vya Dunia)
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Pili vya Dunia)
- Vita vya kwanza vya Matabele
- Chimurenga - muhtasari wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Rhodesia / Zimbabwe
- Vita vya pili vya Matabele ama Chimurenga ya Kwanza
- Chimurenga ya Pili / Vita vya Vichakani vya Rhodesia
Orodha ya vita vya karne ya 21
[hariri | hariri chanzo]- 2001 - vita vya sasa dhidi ya ugaidi
- 2002 - Ukereketwa wa Kiislamu katika Maghreb
- 2002 - Operesheni ya sasa ya Uhuru wa Kudumu (Pembe ya Afrika)
- 2006 - Kuibuka kwa Muungano wa Mahakama za Kiislamu
- 2006 - 2009 Vita vya Ethiopia na Somalia
- 2007 - Operesheni ya leo ya Uhuru wa kudumu- Trans Sahara
- 2009 - vita vya wenyewe kwa wenyewe vya leo nchini Somalia
- 2009 - ukereketwa wa leo wa Taliban nchini Nigeria
- 2001 - 2003 vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Jamhuri ya Afrika ya Kati
- 2002 - 2003 vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Ivory Coast
- 2003 - Vita vya sasa katika Darfur
- 2004 - mapigano ya Kifaransa na Ivory Coast
- 2004 - mgogoro wa leo katika Niger Delta
- 2004 - Vita vya vichakani vya sasa vya Jamhuri ya Afrika ya Kati
- 2004 - Mzozo wa sasa wa Kivu
- 2005 - Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya sasa nchini Chad
- 2005 - 2008 Ukereketwa wa Mlima Elgon
- 2007 - Uasi wa Pili wa sasa wa Tuareg
- Mzozo wa Kenya wa 2007-2008
- 2008 uvamizi wa Anjouan
- 2008 mzozo wa mpakani wa Djibouti na Eritrea
- 2009 Mashambulizi ya Israel ya mabomu nchini ya Sudan