Mapigano ya Cuito Cuanavale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ngede vita ya Angola,MIG-21

Mapigano ya Cuito Cuanavale ya mwaka 1987-1988 ni tukio muhimu la Vita vya wenyewe kwa wenyewe mchini Angola na Vita vya mpakani Afrika Kusini.

Mapigano haya yalihusisha Jeshi la Wananchi wa Angola (FAPLA) likiungwa mkono na Cuba upande mmoja, na Umoja wa Kitaifa wa Uhuru wa Angola (UNITA) wakisaidiwa na Jeshi la Ulinzi la Afrika Kusini (SADF) upande mwingine.

Mapambano yalifanyika karibu na uwanja wa ndege muhimu wa Cuito Cuanavale na mji mdogo wa jina hilo, ili kuzuia shambulio kubwa la FAPLA dhidi ya UNITA huko Jamba na Mavinga.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mapigano ya Cuito Cuanavale kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.