Nenda kwa yaliyomo

Cuito Cuanavale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cuito Cuanavale ni mji uliopo kusini mashariki mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Cuando Cubango.

Mwaka 2009 idadi ya wakazi ilikuwa 8,702[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Cuito Cuanavale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.