Deutsche Lufthansa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Deutsche Lufthansa
IATA
LH
ICAO
DLH
Callsign
LUFTHANSA
Kimeanzishwa 1926 (as Deutsche Luft Hansa Aktiengesellschaft), refounded 1954
Hubs Frankfurt Munich, Düsseldorf [1]
Frequent-flyer program Miles & More
Member lounge HON / Senator Lounge
Muungano Star Alliance
Subsidiaries Lufthansa Cargo, Lufthansa CityLine, Lufthansa Italia, Lufthansa Regional, Lufthansa Technik
Ndege zake 274 (+ 73 orders) excl. subsidiaries

746 (+ 156 orders) inc. subsidiaries excl. shares

Shabaha 202
Nembo There's no better way to fly
Makao makuu Lufthansa Aviation Center Airportring, Frankfurt am Main, Hesse, Ujerumani[2]
Watu wakuu
Revenue €24.9 billion

(US$33.9 billion)

Tovuti www.lufthansa.com
Ofisi ya zamani ya Lufthansa mjini Cologne, Ujerumani

Deutsche Lufthansa ni shirika ya ndege kubwa zaidi kwenye bara Ulaya, kulingana na jumla ya wasafiriwa inabeba. Ni ndege kuu nchini Ujerumani. Jina la kampuni hili linatokana na Luft (neno la Kijerumani linalomaanisha "hewa") na Hansa (baada ya "Hanse" iliyokuwa ushirikiano mashuhuri wa wafanyabiashara thabiti).

Ofisi kuu ipo mjini Cologne, na makao makuu ya ndege zake ni kwenye uwanja wa ndege wa Frankfurt am Main, na makao yake mingine ni uwanja wa ndege wa Munich.[3][4]

Lufthansa ndio mwanachama mwanzishi wa Star Alliance. Star Alliance ilianzishwa mnamo 1997 pamoja na Thai Airways, United Airlines, Air Canada, na Scandinavian Airlines. Lufthansa inahudumu zaidi ya ndege 500 na imewaajiri watu 105,261 kote duniani (31 Desemba 2007). Mnamo 2008, wasafiriwa milioni 70.5 walisafiria kwa kutumia Lufthansa.

Yaliyomo

Shirika[hariri]

Lufthansa inamiliki au ina shirika na kampuni kadhaa:

  • Air Dolomiti, ambayo ni ndege iliyo na makao yake mjini Ronchi dei Legionari, Italy, inamilikiwa na Lufthansa.
  • Austrian Airlines, ndege ya kitaifa nchini Austria, iliyo na makao yakw mjini Schwechat, Austria.
  • BMI (airline), ambayo ni ndege nchini Uingereza inayomilikiwa na Lufthansa.
  • Brussels Airlines, mnamo 1 Julai 2009, Lufthansa ilinunua hisa za 45% na ina azma ya kununua 55% iliyobaki mnamo 2011.
  • Eurowings, ambayo Lufthansa wamenunua 45% ya hisa zake.
  • Germanwings, inamilikiwa kikamili na Lufthansa.
  • JetBlue - ambayo Lufthansa wana 19% ya hisa zake.[5]
  • Lufthansa Cargo, kampuni inayomilikiwa kikamili na Lufthansa.

Ndege zake[hariri]

Ndege aina ya Airbus A319-100
Ndege aina ya Airbus A320
Ndege aina ya Boeing 737-500
Lufthansa Fleet[6][7]
Aina ya ndege Namba Oda Chaguo Wasafiriwa Maelezo
Airbus A319-100 26 9 0 126 (0/24/102)
Airbus A320-200 37 13 0 146 (0/32/114)
Airbus A321-100 20 0 0 186 (0/31/155)
Airbus A321-200 22 21 0 186 (0/31/155)
Airbus A330-300 15 0 0 221 (8/48/165)
Airbus A340-300 26 0 0 266 (0/44/222)
221 (8/48/165)
ndege moja ilifanya kazi kwa Luftwaffe
Airbus A340-600 24 0 0 345 (0/66/279)
306 (8/60/238)
ndege moja imewekwa kando
Airbus A380-800 0 15 10 526 (8/98/420)
Boeing 737-300 33 0 0 124 (0/18/106)
Boeing 737-500 30 0 0 108 (0/18/90)
Boeing 747-400 30 0 0 330 (16/80/234) ndege moja imewekwa kando
Boeing 747-8I 0 20 20
Embraer 170 1 0 0 100 (0/0/100) ilitumiwa na Cirrus Airlines
Jumla 262 80 30

Ndani ya ndege[hariri]

Ndani ya Lufthansa Boeing 747-400 Business Class
Ndani ya Lufthansa Airbus A340-600 Economy Class

Intercontinental[hariri]

First Class: Lufthansa First Class ipo kwenye ndege ya Boeing 747, Airbus A330 na A340. Kila kiti hugeuka kuwa kitanda cha mita mbili, na kuna vifaa vya burudani. Vyakula pia hutolewa.

Business Class: Kila kiti hugeuka na kuwa kitanda cha mita mbili. Pia, kuna viburudisho.

Economy Class: Wasafiriwa hupata vyakula na vinywaji vya bure.

Miji inayosafiria[hariri]

Afrika[hariri]

Afrika Kaskazini[hariri]

Afrika ya Kati[hariri]

Afrika Mashariki[hariri]

Afrika Kusini[hariri]

Afrika Magharibi[hariri]

Marekani[hariri]

Amerika ya Kaskazini[hariri]

  • Canada
    • Calgary - Calgary International Airport
    • Montreal - Montréal-Pierre Elliott Trudeau International Airport [seasonal]
    • Toronto - Toronto Pearson International Airport
    • Vancouver - Vancouver International Airport
  • Mexico
  • Marekani
    • Atlanta - Hartsfield-Jackson Atlanta International Airport
    • Boston - Logan International Airport
    • Charlotte - Charlotte/Douglas International Airport
    • Chicago - O'Hare International Airport
    • Dallas/Fort Worth - Dallas/Fort Worth International Airport
    • Denver - Denver International Airport
    • Detroit - Detroit Metropolitan Wayne County Airport
    • Houston - George Bush Intercontinental Airport
    • Los Angeles - Los Angeles International Airport
    • Miami - Miami International Airport
    • Newark - Newark Liberty International Airport
    • New York City - John F. Kennedy International Airport
    • Orlando - Orlando International Airport
    • Philadelphia - Philadelphia International Airport
    • San Francisco - San Francisco International Airport
    • Seattle - Seattle-Tacoma International Airport
    • Washington, D.C. - Washington Dulles International Airport

Amerika Kusini[hariri]

Asia[hariri]

Asia ya Kati[hariri]

Asia Mashariki[hariri]

  • Uchina
    • Beijing - Beijing Capital International Airport
    • Hong Kong - Hong Kong International Airport
    • Guangzhou - Guangzhou Baiyun International Airport
    • Nanjing - Nanjing Lukou International Airport
    • Shanghai - Shanghai Pudong International Airport

Asia Kusini[hariri]

  • India
    • Bangalore - Bengaluru International Airport
    • Chennai - Chennai International Airport
    • Delhi - Indira Gandhi International Airport
    • Hyderabad - Rajiv Gandhi International Airport
    • Kolkata - Netaji Subhash Chandra Bose International Airport
    • Mumbai - Chhatrapati Shivaji International Airport
    • Pune - Pune International Airport

Uropa[hariri]

Marejeo[hariri]