Hesse

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mahali pa Hesse katika Ujerumani
Mahali pa Hesse katika Ujerumani

Hesse (Kijerumani:Hessen) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 6,1 kwenye eneo la 21 114 km². Mji mkuu ni Wiesbaden. Waziri mkuu ni Roland Koch (CDU).

[hariri] Jiografia

Hesse imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Rhine Kaskazini - Westfalia, Saksonia ya chini, Thuringia, Rhine-Palatino, Baden-Württemberg na Bavaria.

Miji mikubwa ni pamoja na Frankfurt, Wiesbaden, Kassel, Darmstadt, Offenbach, Marburg, Fulda, Gießen, Wetzlar, Hanau na Bad Homburg.

Rhine, Lahn na Main ni mito muhimu zaidi.



[hariri] Picha za Hesse

[hariri] Tovuti za Nje

Vifaa binafsi