Hanau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru






Hanau

Bendera
Hanau is located in Ujerumani
Hanau
Hanau

Mahali pa mji wa Hanau katika Ujerumani

Majiranukta: 50°8′0″N 8°55′0″E / 50.13333°N 8.91667°E / 50.13333; 8.91667
Nchi Ujerumani
Jimbo Hesse
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 88,300
Tovuti:  www.hanau.de
kituo cha reli cha Hanau

Hanau ni mji wa Hesse nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Main. Idadi ya wakazi wake ni takriban 88,300. Mji ulianzishwa 1143. Umbali na Jiji la Frankfurt am Main ni 15 km.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hanau kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.