Bergen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Bergen ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Norwei. Mji una wakazi takriban 262,500 kulingana na makisio ya Julai 31, 2011.[1] Bergen ni kitovu cha ngazi ya utawala ya jimbo la Hordaland. Maeneo ya Mji Mkuu wa Bergen kama yalivyoelezwa na Statistics Norway, una wakazi 386,400 ifikapo Julai 31, 2011.

[hariri] Marejeo

[hariri] Viungo vya Nje

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Norway flagmap.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bergen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine