Eneo bunge la Budalangi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d fixing dead links
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Jimbo la Uchaguzi la Budalangi''' ni mojawapo ya [[Maeneo bunge ya Kenya|Majimbo ya Uchaguzi]] nchini [[Kenya]]. Jimbo hili linapatikana katika [[Wilaya ya Busia, Kenya|Wilaya ya Busia]] katika [[Mkoa wa Magharibi (Kenya)|Mkoa wa Magharibi]] na ni moja ya majimbo manne katika wilaya hiyo.
'''Jimbo la Uchaguzi la Budalangi''' ni mojawapo ya [[Maeneo bunge ya Kenya|Majimbo ya Uchaguzi]] nchini [[Kenya]]. Jimbo hili linapatikana katika [[kaunti ya Busia]], [[Magharibi]] mwa nchi na ni moja ya majimbo saba katika kaunti hiyo.
{{Politics of Kenya}}
{{Politics of Kenya}}


Mstari 88: Mstari 88:
{{Majimbo ya Uchaguzi ya Kenya}}
{{Majimbo ya Uchaguzi ya Kenya}}


[[Jamii:Wilaya ya Busia, Kenya]]
[[Jamii:Kaunti ya Busia]]
[[Jamii:Majimbo ya Uchaguzi ya Mkoa wa Magharibi (Kenya)]]
[[Jamii:Majimbo ya Uchaguzi ya Kenya]]

[[en:Budalangi Constituency]]

Pitio la 13:43, 1 Machi 2019

Jimbo la Uchaguzi la Budalangi ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Busia, Magharibi mwa nchi na ni moja ya majimbo saba katika kaunti hiyo.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Historia

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1997

Wabunge

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1997 Raphael Bitta Sauti Wanjala Ford-K
2002 Raphael Bitta Sauti Wanjala NARC
2007 Ababu Namwamba ODM

Kata na Wodi

Kata
Kata Idadi ya Watu*
Bunyala Central 10,699
Bunyala East 13,877
Bunyala North 13,343
Bunyala South 6,314
Bunyala West 16,064
Khajula 7,395
Jumla x
*Hesabu ya 1999 [2].
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Mitaa
Bukani 2,098 Port Victoria (Mji)
Bukoma 986 Port Victoria (Mji)
Bulemia 2,008 Port Victoria (Mji)
Lunyofu 1,279 Port Victoria (Mji)
Bunyala North 7,879 Busia County
Bunyala South 9,182 Busia County
Jumla 23,432
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia

Virejeleo