Jimbo la Uchaguzi la Kitutu Chache

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kitutu Chache ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja ya Majimbo manne katika wilaya ya Kisii

Aliyekuwa Waziri wa Maswala ya Nchi za Kigeni Zachary Onyonka alikuwa akiliwakilisha jimbo hili kama mbunge, ingawa awali alikuwa ameliwakilisha jimbo la Kitutu West ambalo liligawanwa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Zachary Onyonka KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Zachary Onyonka KANU Onyonka aliaga wakati akiendelea kuhudumu kwa kipindi chake
1994 Jimmy Angwenyi KANU Uchaguzi Mdogo
1997 Jimmy Angwenyi KANU
2002 Jimmy Angwenyi Ford-People
2007 Richard Momoima Onyonka PDP

Wodi[hariri | hariri chanzo]

Wodi
Wodi Registered Voters Utawala
Bogeka 4,067 Gusii county
Daraja Mbili 3,548 Munisipali ya Kisii
Kegogi 6,906 Gusii county
Kiamwasi 1,579 Munisipali ya Kisii
Kiongongi 1,666 Munisipali ya Kisii
Marani 8,888 Gusii county
Mosocho 6,372 Gusii county
Mwamonari 5,740 Gusii county
Ngenyi 10,235 Gusii county
Nyabururu 2,454 Munisipali ya Kisii
Nyakoe 5,603 Gusii county
Nyankongo 2,722 Munisipali ya Kisii
Nyatieko 3,749 Gusii county
Sensi 4,350 Gusii county
Jumla 67,879
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]