Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Kitutu Chache

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eneo bunge la Kitutu Chache lilikuwa Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya, moja ya Majimbo manne katika wilaya ya Kisii

Aliyekuwa Waziri wa Maswala ya Nchi za Kigeni Zachary Onyonka alikuwa akiliwakilisha jimbo hili kama mbunge, ingawa awali alikuwa ameliwakilisha jimbo la Kitutu West ambalo liligawanwa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 1988. Baadaye liligawanywa.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988Zachary OnyonkaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Zachary OnyonkaKANUOnyonka aliaga wakati akiendelea kuhudumu kwa kipindi chake
1994Jimmy AngwenyiKANUUchaguzi Mdogo
1997Jimmy AngwenyiKANU
2002Jimmy AngwenyiFord-People
2007Richard Momoima OnyonkaPDP
Wodi
Wodi Registered Voters Utawala
Bogeka4,067Gusii county
Daraja Mbili3,548Munisipali ya Kisii
Kegogi6,906Gusii county
Kiamwasi1,579Munisipali ya Kisii
Kiongongi1,666Munisipali ya Kisii
Marani8,888Gusii county
Mosocho6,372Gusii county
Mwamonari5,740Gusii county
Ngenyi10,235Gusii county
Nyabururu2,454Munisipali ya Kisii
Nyakoe5,603Gusii county
Nyankongo2,722Munisipali ya Kisii
Nyatieko3,749Gusii county
Sensi4,350Gusii county
Jumla67,879
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]