Eneo Bunge la Kinangop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Eneo Bunge la Kinangop ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge katika Wilaya ya Nyandarua. Eneo bunge hili lina wadi tano, zote ambazo huwachagua madiwani katika Baraza la Mji wa Nyandarua. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

Halifai kutatanishwa na Eneo Bunge la Kinango lililo katika Wilaya ya Kwale.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Josiah Munyua Kimemia KANU Mfumo wa Chama kimoia.
1992 Mary Wanjiru Ford-Asili
1997 Mwangi K.Waithaka Ford-People
2002 Mwangi K.Waithaka NARC
2007 David Mwaniki Ngugi Sisi Kwa Sisi

Wadi[hariri | hariri chanzo]

North Kinangop
Wadi
Wadi Wapiga kura waliosajiliwa
Engineer 16,060
Magumu 9,964
Njabini 12,358
North Kinangop 13,251
Nyakio 12,199
Jumla 63,832
Septemba 2005 | [2],[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]