Nenda kwa yaliyomo

Jimbo la Uchaguzi la Bahari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bahari lilikuwa Jimbo la uchaguzi katika Mkoa wa Pwani wa Kenya, mojawapo ya majimbo matatu ya uchaguzi katika Wilaya ya Kilifi.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa Kenya wa 1988.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988Timothy Mtana Lewa KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 J. Safari Mumba KANU
1997 Jembe Mwakalu KANU
2002 Joe Matano Khamisi NARC
2007 Benedict Fodo Gunda ODM

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Banda ra Salama 10,962
Chasimba 17,871
Junju 28,876
Kilifi Township 45,236
Matsangoni 14,645
Mtwapa 66,268
Mwarakaya 15,140
Ngerenya 14,450
Roka 15,375
Takaungu Mavueni 26,479
Tezo 22,116
Ziani 14,588
Jumla x
Hesabu ya 1999
Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojiandikisha
Utawala wa Mtaa
Chasimba 4,840 Kilifi county
Hospital / Sokoni 9,367 Kilifi (mji)
Junju 7,304 Kilifi county
Kibarani 4,884 Kilifi (mji)
Matsangoni 3,980 Kilifi county
Mavueni/Mkongani 3,251 Kilifi (mji)
Mnarani 2,603 Kilifi (mji)
Mtepeni 7,587 Kilifi county
Mwarakaya 7,462 Kilifi county
Ngala 3,826 Kilifi (mji)
Ngerenya 4,140 Kilifi county
Roka 3,993 Kilifi county
Shauri Moyo / Takaungu 4,401 Kilifi (mji)
Shimo la Tewa 7,138 Kilifi county
Ziani 3,929 Kilifi county
Jumla 78,705
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]