Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Gatanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Gatanga ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi ya Kenya. Jimbo hili ni moja kati ya majimbo saba ya uchaguzi ya Kaunti ya Murang'a. Lina wodi saba ambazo zote zimo katika baraza la Kaunti.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988 kutokana na kugawanywa kwa jimbo la Kandara kutengeneza majimbo mawili.

Jimbo hili lina tarafa mbili za utawala: Gatanga na Kakuzi, ambayo ilianzishwa mnamo 2002[1].

Uchaguzi Mbunge [2] Chama Vidokezo
1988Joseph Mwaura GachuiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Josephat Mburu WanyoikeFord-Asili
1997David Wakairu MuratheSDP
2002Peter KennethNARC
2007Peter KennethPNU
Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojiandikisha
Gatanga14,104
Ithanga7,801
Kakuzi6,781
Kariara8,488
Kigoro9,331
Kihumbuini15,542
Mitubiri8,715
Jumla70,762
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Gatanga Constituency website". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-28. Iliwekwa mnamo 2021-01-16.
  2. Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
  3. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]