Eneo bunge la Kaloleni
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Kaloleni)
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Kaloleni ni moja kati ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Linapatikana katika pwani mwa Kenya na ni moja kati ya Majimbo saba ya uchaguzi katika Kaunti ya Kilifi
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 1988.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Matthias Benedict Keah | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Matthias Benedict Keah | KANU | |
1997 | Matthias Benedict Keah | KANU | |
2002 | Morris Mwachondo Dzoro | NARC | |
2007 | Samuel Kazungu Kambi | PNU |
Kata na Wodi
[hariri | hariri chanzo]Kata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Jibana | 17,025 |
Kaloleni | 41,689 |
Kambe | 13,324 |
Kayafungo | 22,250 |
Mariakani | 37,469 |
Mwanamwinga | 21,634 |
Mwawesa | 15,652 |
Rabai | 37,670 |
Ribe | 5,916 |
Ruruma | 22,180 |
Tsangatsini | 9,972 |
Jumla | x |
Hesabu ya 1999. |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
Utawala wa Mtaa |
---|---|---|
Jibana | 6,257 | Kilifi county |
Kaliangombe | 2,627 | Mariakani (mji) |
Kaloleni | 10,747 | Kilifi county |
Kambe | 4,643 | Kilifi county |
Kawala | 2,665 | Mariakani (mji) |
Kayafungo | 5,810 | Kilifi county |
Mariakani | 6,979 | Mariakani (mji) |
Mugumo-wa-patsa | 5,447 | Mariakani (mji) |
Mwanamwinga | 5,662 | Kilifi county |
Rabai | 4,233 | Kilifi county |
Ribe | 1,739 | Kilifi county |
Ruruma / Mwaweza | 10,612 | Kilifi county |
Tsangatsini | 2,893 | Mariakani (mji) |
Jumla | 70,314 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kaloleni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |