Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Likoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Likoni)
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Likoni ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi ya Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Mombasa nchini Kenya, miongoni mwa maimbo manne ya kaunti hiyo. Lina wodi nne, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la munisipali ya Mombasa.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi mkuu wa 1988. Mbunge wake wa kwanza alikuwa Abdulkadir Abdalla Mwidau.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Abdulkadir Abdalla Mwidau KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Khalif Salim Mwavumo Ford-Kenya
1997 Rashid Suleiman Shakombo Shirikisho
2002 Rashid Suleiman Shakombo NARC
2007 Mwalimu Masudi Mwahima ODM

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Ganjoni 24,176
Likoni 76,388
Mtongwe 27,251
Shika Adabu 18,437
Jumla x
*Hesabu 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura
waliojisajili
Bofu 16,147
Ganjoni 14,805
Mtongwe 9,640
Shika Adabu 7,627
Jumla 48,219
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]