Jimbo la Uchaguzi la Karachuonyo
Jump to navigation
Jump to search
Jimbo la Uchaguzi la Karachuonyo ni Moja lkati ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. JImbo hili linapatikana katika Wilaya ya Rachuonyo Mkoani Nyanza na ni moja ya Majimbo mawili ya Uchaguzi katika Wilaya hiyo.
Jamhuri ya Kenya |
![]() Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia[hariri | hariri chanzo]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963.
Wabunge[hariri | hariri chanzo]
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Elijah Omolo Agar | KANU | |
1969 | David Okiki Amayo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | David Okiki Amayo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Phoeba Muga Asiyo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Phoeba Muga Asiyo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | David Okiki Amayo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Phoeba Muga Asiyo | Ford-Kenya | |
1997 | Peter Adhu Awiti | NDP | |
2002 | Peter Adhu Awiti | NARC | |
2007 | James Kwanya Rege | ODM |
Wodi[hariri | hariri chanzo]
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha | Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Central Karachuonyo | 3,847 | Rachuonyo County |
Gendia / Awach | 3,331 | Kendu Bay (mji) |
Kumba / Jieri | 4,121 | Kendu Bay (mji) |
Kanyaluo | 6,371 | Rachuonyo County |
Kibiri | 6,205 | Rachuonyo County |
North West Karachuonyo | 8,076 | Rachuonyo County |
Rambira | 2,283 | Kendu Bay (mji) |
Simbi / Kogembo | 3,282 | Kendu Bay (mji) |
Wang'chieng / Karabondi | 7,905 | Rachuonyo County |
West Karachuonyo | 7,053 | |
Jumla | 52,474 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Virejeleo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]