Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Bobasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Bobasi)

Eneo bunge la Bobasi ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linalopatikana katika Kaunti ya Kisii.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1988.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Christopher Mogere Obure KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Stephen Kengere Manoti Ford-K
1997 Christopher Mogere Obure Ford-K
2002 Stephen Kengere Manoti Ford-People
2007 Christopher Mogere Obure ODM
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Mitaa
Emenwa / Nyoera 3,884 Nyamache (Mji)
Kiobegi / Gionseri 4,938 Nyamache (Mji)
Nyachogochogo 3,297 Nyamache (Mji)
Nyantira 2,468 Nyamache (Mji)
Mosora 1,753 Ogembo (Mji)
Sameta 3,025 Ogembo (Mji)
Bobasi Chache 7,896 Gucha county
Bobasi Masige 6,864 Gucha county
Igare 8,617 Gucha county
Maji Mazuri 4,184 Gucha county
Nyacheki 12,039 Gucha county
Nyangusu 6,089 Gucha county
Jumla 65,054
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]