Eneo bunge la Gatundu Kusini
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Gatundu Kusini)
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Gatundu Kusini ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Kenya. Jimbo hili ni moja kati ya majimbo saba ya Kaunti ya Murang'a.
Lina wodi nne zote zikiwemo chini ya Baraza la Kaunti.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi wa 1997. Awali lilikuwa sehemu ya jimbo kuu la Gatundu.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Mbunge wa sasa wa Jimbo la Gatundu Kusini ni Uhuru Kenyatta, Mwanasiasa maarufu wa Kenya na mwana wa Rais wa kwanza wa Kenya, Mzee Jomo Kenyatta.
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1997 | Moses Mwihia | SDP | |
2002 | Uhuru Kenyatta | KANU | |
2007 | Uhuru Kenyatta | KANU |
Kata na Wodi
[hariri | hariri chanzo]Kata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Kiamwangi | 23,630 |
Kiganjo | 28,502 |
Ndaragu | 21,554 |
Ng'enda | 46,562 |
Jumla | x |
*Hesabu ya 1999. |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura waliojisajili |
---|---|
Kiamwangi | 11,333 |
Kiganjo | 12,698 |
Ndaragu | 9,459 |
Ng'enda | 23,154 |
Jumla | 56,644 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Gatundu Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |