Jimbo la Uchaguzi la Nyaribari Chache

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Nyaribari Chache ni jimbo li uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo manne ya wilaya ya Kisii.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Lilianzishwa wakati wa Uchaguzi wa 1988.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Andrew John Omanga KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Simeon Nyachae KANU
1997 Simeon Nyachae KANU
2002 Simeon Nyachae Ford-People
2007 Robert Onsare Monda NARC

Wodi[hariri | hariri chanzo]

Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojiandikisha Utawala wa Eneo
Bobaracho 5,010 Munisipali ya Kisii
Central 7,049 Munisipali ya Kisii
Ibeno / Keumbu 19,383 Gusii county
Kanga Hill 2,862 Munisipali ya Kisii
Kegati 3,798 Gusii county
Kiogoro 6,226 Gusii county
Nyansira 1,285 Keroka (Mji)
Nyaura 5,801 Munisipali ya Kisii
Jumla 51,414
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Robert Onsare Monda Simeon Nyachae Uchaguzi wa Bunge la Kenya 2007

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]