Jimbo la Uchaguzi la Kiambaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jamhuri ya Kenya
Coat-of-arms-DETAILED-rgb.png

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
KenyaNchi zingine · Atlasi


Jimbo la Uchaguzi la Kiambaa ni mojawapo ya Majimbo 210 nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo kumi na mawili katika Kaunti ya Kiambu.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi MP [1] Chama Vidokezo
1963 Mbiyu Koinange KANU
1969 Mbiyu Koinange KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Mbiyu Koinange KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Njenga Karume KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Njenga Karume KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Njenga Karume KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 J. Kamau Icharia Ford-Asili
1997 Njenga Karume DP
2002 Njenga Karume KANU
2007 Stanley Munga Githunguri KANU

Kata na Wodi[hariri | hariri chanzo]

kata
Kata Idadi ya Watu*
Cianda 13,441
Kamiti 7,496
Kiambaa 44,859
Kiambaa Settled Area 18,337
Kihara 36,710
Ndumberi 20,396
Riabai 21,068
Ruaka 15,348
Ting'ang'a 14,290
Waguthu 21,363
Jumla x
*Hesabu ya 1999 [2].
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Baraza la Utawala wa Mtaa
Cianda 5,433 Kiambu county
Kanunga 6,033 Kiambu (Mji)
Kiambaa 14,155 Karuri (Mji)
Kihara 12,333 Karuri (Mji)
Kihingo 2,714 Kiambu (Mji)
Muchatha 8,712 Karuri (Mji)
Ndenderu 6,683 Karuri (Mji)
Ndumberi 6,818 Kiambu (Mji)
Riabai 2,826 Kiambu (Mji)
Technology 4,820 Kiambu (Mji)
Ting'ang'a 9,027 Kiambu county
Township 10,801 Kiambu town
Jumla 90,355
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Virejejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]