Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Kiambaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Kiambaa ni mojawapo ya Majimbo 290 nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo kumi na mawili katika Kaunti ya Kiambu.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963.

Uchaguzi MP [1] Chama Vidokezo
1963Mbiyu KoinangeKANU
1969Mbiyu KoinangeKANUMfumo wa Chama Kimoja
1974Mbiyu KoinangeKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979Njenga KarumeKANUMfumo wa Chama Kimoja
1983Njenga KarumeKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988Njenga KarumeKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992J. Kamau IchariaFord-Asili
1997Njenga KarumeDP
2002Njenga KarumeKANU
2007Stanley Munga GithunguriKANU

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
kata
Kata Idadi ya Watu*
Cianda13,441
Kamiti7,496
Kiambaa44,859
Kiambaa Settled Area18,337
Kihara36,710
Ndumberi20,396
Riabai21,068
Ruaka15,348
Ting'ang'a14,290
Waguthu21,363
Jumlax
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Baraza la Utawala wa Mtaa
Cianda5,433Kiambu county
Kanunga6,033Kiambu (Mji)
Kiambaa14,155Karuri (Mji)
Kihara12,333Karuri (Mji)
Kihingo2,714Kiambu (Mji)
Muchatha8,712Karuri (Mji)
Ndenderu6,683Karuri (Mji)
Ndumberi6,818Kiambu (Mji)
Riabai2,826Kiambu (Mji)
Technology4,820Kiambu (Mji)
Ting'ang'a9,027Kiambu county
Township10,801Kiambu town
Jumla90,355
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]