Nenda kwa yaliyomo

Stanley Munga Githunguri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stanley Munga Githunguri (Gachie, kaunti ya Kiambu, 17 Februari 1945 - 30 Novemba 2022) alikuwa mwanasiasa wa Kenya.

Maisha ya Awali

[hariri | hariri chanzo]

Alihudhuria shule ya msingi ya Gacharage kuanzia 1954 hadi 1957 kabla ya kwenda shule ya kati ya Karura.[1]

  1. Members Of The 10th Parliament Archived 2008-06-16 at the Wayback Machine. Parliament of Kenya. Accessed June 19, 2008.