Jimbo la Uchaguzi la Nyakach

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Nyakach ni Jimbo la uchaguzi la Kenya linalopatikana katika Wilaya ya Nyando. Jimbo hili lina Wadi tisa, zote zikiwatuma madiwani katika Baraza la mtaa Nyando County.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Jombo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1966, wakati lilitawanywa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Nyando [1].

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [2] Chama Vidokezo
1966 M. Ondieki -Chillo KANU
1969 James Dennis Akumu KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Samson Odoyo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Ojwang K’Ombudo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Ojwang K’Ombudo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Ojwang K’Ombudo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 James Dennis Akumu Ford-K
1997 Peter Ochieng Odoyo NDP
2002 Peter Ochieng Odoyo NARC
2007 Pollyins Ochieng Anyango ODM

Wodi[hariri | hariri chanzo]

Wodi
Wodi Wapigakura
Waliojiandikisha
Central Nyakach / Nyalunya 5,031
East Nyakach 2,270
North East Nyakach 4,749
North Nyakach / Rang'ul 4,079
Pap Onditi 5,377
Sigoti 3,789
South Nyakach 5,776
South West Nyakach 5,850
Thurdibuoro / West Nyakach 8,764
Jumla 45,685
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]