Jimbo la Uchaguzi la Kisumu Mjini Mashariki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jimbo la Uchaguzi la Kisumu Mjini Mashariki ni mojawapo ya Majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili liinapatikana katika Wilaya ya Kisumu mkoani Nyanza, miongoni mwa majimbo matatu katika wilaya hiyo. Lina wodi sita, zote zikichagua madiwani kwa baraza la munisipali ya Kisumu.

Jamhuri ya Kenya
Coat-of-arms-DETAILED-rgb.png

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
KenyaNchi zingine · Atlasi


Historia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilibuniwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1997 kutikana na kutawanywa kwa jimbo kubwa la Kisumu Mjini kuwa Jimbo la Uchaguzi la Kisumu Mjini Mashariki na Jimbo la Uchaguzi la Kisumu Mjini Magharibi.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1997 Gor Sunguh NDP
2002 Gor Sunguh NARC
2007 Ahmed Shakeel Shabbir Ahmed ODM

Wodi[hariri | hariri chanzo]

Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojisajili
Central Kolwa 5,831
East Kajulu 4,357
East Kolwa 6,158
Manyatta 14,520
Nyalenda 8,228
West Kajulu 4,869
Jumla 43,963
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]