Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Magarini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Magarini ni jina la Jimbo mojawapo ya majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Linapatikana pwani na ni mojawapo ya majimbo saba ya uchaguzi ya Kaunti ya Kilifi. Jimbo hili linajumuisha wodi nane, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la kaunti.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988. Mbunge wake wa Kwanza alikuwa Jonathan Katana Ndzai wa Chama cha KANU.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988Jonathan Katana NdzaiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Jonathan Katana NdzaiKANU
1997David Noti KombeKANU
2002Harrison Garama KombeShirikishoKiti hiki kilitangazwa wazi na Mahakama Kuu mnamo 2007 [2]
2007Harrison Garama KombeShirikishoUchaguzi Mdogo
2007Amason Kingi JeffahODM

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Adu11,566
Bungale12,983
Dagamra9,827
Fundisa25,247
Garashi7,071
Gongoni23,049
Magarini38,741
Marafa14,558
Jumlax
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojisajili
Adu3,119
Bungale2,996
Dagamra2,733
Fundi-issa5,574
Garashi2,324
Gongoni6,609
Magarini9,365
Marafa4,569
Jumla37,289
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
  2. Institute For Education In Democracy: Publications & Papers Ilihifadhiwa 11 Aprili 2009 kwenye Wayback Machine.
  3. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency