Eneo bunge la Malindi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Malindi ni mojawapo ya majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo saba katika Kaunti ya Kilifi, pwani mwa Kenya.

Historia[hariri | hariri chanzo]

JImbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi wa 1963, ambaop ulikuwa uchaguzi wa kwanza wa Jamhuri ya Kenya.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 Francis Bobi Tuva KADU
1969 Francis Bobi Tuva KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Francis Bobi Tuva KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Francis Bobi Tuva KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Francis Bobi Tuva KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Francis Bobi Tuva KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Abubakar Mohamed Badawy KANU
1997 Abubakar Mohamed Badawy KANU
2002 Lucas B. Mweni Maitha NARC
2007 Gideon Mung’aro ODM

Kata na Wodi[hariri | hariri chanzo]

Kata
Kata Idadi ya Watu*
Chakama 6,586
Ganda 16,161
Gede 26,805
Goshi 16,823
Jilore 9,832
Langobaya 14,513
Malindi 102,411
Watamu 21,034
Jumla x
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura
waliojisajili
Baraza la Utawala wa Mtaa
Barani 7,199 Munisipali ya Malindi
Ganda / Mkaumoto 4,970 Munisipali ya Malindi
Gede 7,440 Munisipali ya Malindi
Kijiwetanga 4,161 Munisipali ya Malindi
Madunguni 3,194 Munisipali ya Malindi
Malimo 1,398 Munisipali ya Malindi
Malindi Central 6,927 Munisipali ya Malindi
Malindi North 3,362 Munisipali ya Malindi
Malindi South 10,162 Munisipali ya Malindi
Watamu 6,741 Munisipali ya Malindi
Chakama 1,626 Malindi County
Jilore 2,865 Malindi County
Lango Mbaya 3,809 Malindi County
Jumla 63,854
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]