Eneo bunge la Kabondo Kasipul
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Kasipul Kabondo)
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Kabondo Kasipul ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Homa Bay na ni moja kati ya majimbo nane katika kaunti hiyo.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo hili ni miongoni mwa majimbo ya kwanza kubuniwa baada ya Uhuru wa Kenya, wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 1963.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Samuel Onyango Ayodo | KANU | |
1969 | James Ezekiel Mbori | KANU | Mfumo wa chama Kimoja |
1974 | Samuel Onyango Ayodo | KANU | Mfumo wa chama Kimoja |
1979 | Samuel Onyango Ayodo | KANU | Mfumo wa chama Kimoja |
1983 | James Ezekiel Mbori | KANU | Mfumo wa chama Kimoja |
1988 | James Ezekiel Mbori | KANU | Mfumo wa chama Kimoja |
1992 | Otieno Kopiyo | Ford-Kenya | |
1997 | William Otula | NDP | |
2002 | Peter Owidi | NARC | Owidi aliaga dunia mnamo 2005 |
2005 | Patrick Ahenda | LPK | Uchaguzi Mdogo |
2007 | Joseph Oyugi Magwanga | ODM |
Kata na Wodi
[hariri | hariri chanzo]Kata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
East Kamagak | 15,044 |
Kakelo | 17,080 |
Kakhieng | 8,740 |
Kasewe | 11,498 |
Kodera | 14,767 |
Kojwach | 18,893 |
Kokech | 9,189 |
Kokwanyo | 9,763 |
Konuonga | 9,548 |
Kowidi | 14,094 |
Kowour | 14,280 |
North Kamagak | 15,198 |
Ramba | 9,647 |
Ramula | 6,136 |
Wang'chieng | 16,281 |
West Kamagak | 18,103 |
Jumla | x |
*Hesabu ya 1999. |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha | Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Ayoro / Nyandong'e | 4,087 | Oyugis (Mji) |
Central Kasipul | 6,663 | Rachuonyo county |
Kabondo East | 8,827 | Rachuonyo county |
Kabondo West | 9,706 | Rachuonyo county |
Kakelo | 4,890 | Rachuonyo county |
Kojwach | 5,060 | Rachuonyo county |
Kokwanyo | 3,219 | Rachuonyo county |
Mawira / Rabuor | 3,270 | Oyugis (Mji) |
Obisa | 5,445 | Oyugis (Mji) |
Sikri | 3,332 | Oyugis (Mji) |
West Kasipul | 7,399 | Rachuonyo county |
Wire Hill / Migwa | 2,539 | Oyugis (Mji) |
Jumla | 64,437 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamentarians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Kasipul Kabondo Constituency Ilihifadhiwa 22 Septemba 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kabondo Kasipul kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |