Nenda kwa yaliyomo

Ardahan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jimbo la Ardahan)
Ardahan
Ramani ya mji ya Ardahan.

Ardahan (Kirmenia: Արդահան; Kirusi: Ардаган; Kigeorgia: არტაანი) ni mji uliopo mjini kaskizini-mashariki ya nchi ya Uturuki, ambao umepakana na mpaka wa nchi ya Georgia. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Ardahan.

Maisha katika mji wa Ardahan

[hariri | hariri chanzo]

Ardahan ni mji mkuu mdogo kuliko yote katika Uturuki, hadi kufikia 1993, ulikuwa mji mdogo wa mkoa jirani wa Kars. Tangu kugawiwa kwa kata za mkoa kumekuwa na uwekezaji mwingi na kumekuwa na majengo mengi ya serikali, lakini maisha ya huko na ya kuishi juu ya milima na kuna kuwa na saluji kwa muda wa nusu mwaka lakini bado watu wangaliishi huko. Kuna mahoteli mengi tu, ambayo mara nyingi hutumika kwa madereva wa magari makubwa na wale wsafiri waelekeao Georgia.

Chuo Kikuu cha Kars Kafkas kina taasisi katika mji wa Ardahan na kuna makazi pia ya wanajeshi. Raia wa kawaida, wanafunzi na wanajeshi wameweka kambi yao hapo ili kusaidia hali ya uchumi ya mji huo. Watu hao wana vilabu vyao na majumba ya wageni, wakati huko mjini kwenyewe kuna mambo machache yahitajikanayo kwa jamii, zaidizaidi kuna vijiduka kadhaa vya kuuza keki na mgahawa chai na kababu. Kwenda kununua bidhaa kubwakubwa nazo hamna.

Siku muhimu kwa huko

[hariri | hariri chanzo]

Sherehe Muhimu za Huko

Siku Kuu

Watu mashuhuri

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ardahan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.