Nenda kwa yaliyomo

Adıyaman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Adıyaman
Eneo la Adıyaman katika Uturuki.

Adıyaman (kwa Kizazaki: Semsur) (Perre ya kale au Pordonnium) ni mji uliopo kusini-mashariki mwa nchi ya Uturuki, na pia ni mji mkuu wa Mkoa wa Adıyaman.

Ni mmoja kati ya miji inayokua haraka zaidi katika nchi ya Uturuki. Idadi ya wakazi wa huko inaanzia 100,045 (1990) hadi 178,538 (2000) (kwa mujibu wa sensa zao).

Mwanzoni mji ulikuwa na jina la Kiarabu 'Hisnimansur' likiwa kama jina rasmi la mji hadi kufikia mwaka 1926, lakini jina hilo likawa gumu kwa watu wa Uturuki kulitamka, na badala yake wakawa wanalifupisha na kuliita 'adi yaman' likiwa na maana ya 'jina gumu' au '(eneo) la jina gumu katika Uturuki. Mnamo 1926, jina hilo likawa ndilo jina kamili la mji huu.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Adıyaman ya leo

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Adıyaman kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.