Kahta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kahta

Kahta ni mji na wilaya iliopo katika Mkoa wa Adıyaman kwenye kanda ya Kusinimashariki mwa Anatolia huko nchini Uturuki.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kahta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.