Sinop (Uturuki)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 00:08, 10 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 45 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q599416 (translate me))

Sinop (Kigiriki: Σινώπη au Sinópe) ni jina la mji uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi huko kaskazini mwa nchi ya Uturuki. Mji una wakazi wapatao 47,000. Mji huu kihistoria unajulikana kama Sinope. Pia, huu ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Sinop.

Marejeo

  • John Garstang, The Hittite Empire (University Press, Edinburgh, 1930).

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sinop (Uturuki) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.