Kanisa Katoliki la Kimelkiti
Kanisa Katoliki la Kimelkiti (kwa Kiarabu: كنيسة الروم الملكيين الكاثوليك, Kanīsat ar-Rūm al-Malakiyyīn al-Kāṯūlīk) ni mojawapo kati ya madhehebu ya Kanisa Katoliki yanayoongozwa na Patriarki wake akisaidiwa na sinodi yake na akiwa na ushirika kamili na Papa wa Roma tangu mwaka 1729.
Makao makuu yako Damasko, Siria, lakini Patriarki anatumia jina la Antiokia na mashariki yote, Aleksandria na Yerusalemu.
Kwa sasa (tangu tarehe 21 Juni 2017) Patriarki ni Youssef Absi, S.M.S.P., anayetokea Damasko.
Kwa asili waamini wake wengi (milioni 1.6) wanazungumza Kiarabu, lugha rasmi ya Kanisa hilo, ingawa hasa siku hizi wana mchanganyiko mkubwa wa damu.
Asili ya jina
[hariri | hariri chanzo]Melkiti ni neno linalotokana na malkā, yaani mfalme kwa Kiaramu, na awali lilimaanisha Wakristo wa Mashariki ya Kati waliokubali maamuzi ya Mtaguso wa Kalsedonia (451) uliokuwa unaungwa mkono na kaisari wa Konstantinopoli.[1] Jina hilo linaendelea kutumiwa na Wakatoliki tu.
Pamoja na kwamba kwa asili Wakristo hao walikuwa wanafuata mapokeo ya Antiokia, au pengine wa Aleksandria au wa Yerusalemu, walikuja kupokea liturujia ya Ugiriki kama Waorthodoksi wengine, wakati waliokataa mtaguso huo waliendelea na liturujia zao.[2]
Uenezi
[hariri | hariri chanzo]Katika nchi za Kiarabu, Kanisa hilo lina majimbo kama ifuatavyo:
- Misri na Sudan
- Jimbo la Kipatriarki la Aleksandria, likisimamiwa na protosyncellus.
- Israel
- Jordan
- Jimbo kuu la Petra, Philadelphia (Amman) na Transjordan yote
- Lebanon
- Palestina:
- Jimbo kuu la Kimelkiti la Yerusalemu
- Syria
Katika nchi nyingine duniani, Kanisa lina majimbo kama ifuatavyo:
- Argentina
- Esarkia ya Kitume ya Argentina
- Australia na New Zealand
- Jimbo la Mt. Mikaeli la Sydney
- Brazil
- Jimbo la Kimelkiti la Nossa Senhora do Paraíso em São Paulo.
- Canada
- Jimbo la Saint-Sauveur de Montréal.
- Mexiko
- Jimbo la Nuestra Señora del Paraíso en México.
- Marekani
- Jimbo la Kimelkiti la Newton
- Venezuela
- Esarkia ya Kitume ya Venezuela, Caracas.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Descy, Serge (1993). The Melkite Church. Boston: Sophia Press.
{{cite book}}
: Cite has empty unknown parameter:|coauthors=
(help) - Dick, Ignatios (2004). Melkites: Greek Orthodox and Greek Catholics of the Patriarchates of Antioch, Alexandria and Jerusalem. Boston: Sophia Press.
{{cite book}}
: Cite has empty unknown parameter:|coauthors=
(help) - Faulk, Edward (2007). 101 Questions and Answers on Eastern Catholic Churches. New York: Paulist Press. ISBN 978-0-8091-4441-9.
{{cite book}}
: Cite has empty unknown parameter:|coauthors=
(help) - Parry, Ken (1999). The Blackwell Dictionary of Eastern Christianity. Malden, Massachusetts.: Blackwell Publishing. ISBN 0-631-23203-6.
{{cite book}}
: Unknown parameter|coauthors=
ignored (|author=
suggested) (help) - Raya, Joseph (1992). Byzantine Church and Culture. Allentown, New Jersey: Alleluia Press. ISBN 0-911726-54-3.
{{cite book}}
: Cite has empty unknown parameter:|coauthors=
(help) - Roccasalvo, Joan L. (1992). The Eastern Catholic Churches: An Introduction To Their Worship and Spirituality. Collegeville, Minnesota.: The Liturgical Press. ISBN 0-8146-2047-7.
{{cite book}}
: Cite has empty unknown parameter:|coauthors=
(help) - Tawil, Joseph (2001). The Patriarchate of Antioch Throughout History: An Introduction. Boston: Sophia Press.
{{cite book}}
: Cite has empty unknown parameter:|coauthors=
(help) - Zoghby, Elias (1998). Ecumenical Reflections. Fairfax, Virginia.: Eastern Christian Publications. ISBN 1-892278-06-5.
{{cite book}}
: Cite has empty unknown parameter:|coauthors=
(help)
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Melkite Greek Catholic Patriarchate of Antioch, Alexandria and Jerusalem Archived 8 Oktoba 2008 at the Wayback Machine.
- L'Église Melkite/The Melkite Church Archived 13 Oktoba 2008 at the Wayback Machine..
- Melkite Catholic Web Ring Archived 27 Septemba 2008 at the Wayback Machine..
- Extensive history of the Melkite Church
- Melkite Ambassadors Young Adult Website Archived 27 Septemba 2007 at the Wayback Machine..
- Article on the Melkite Catholic Church by Ronald Roberson on the CNEWA website. Archived 12 Julai 2009 at the Wayback Machine.
- Eparchy of Newton, the Melkite Church in the US
- Hati Orientalium Ecclesiarum ya Mtaguso wa pili wa Vatikano
- Hati Orientales omnes Ecclesias ya Papa Pius XII
- [1] Archived 5 Machi 2012 at the Wayback Machine. - Hati ya Papa Yohane Paulo II Orientale Lumen kuhusu Makanisa ya Mashariki
- Codex Canonum Ecclesiarum Orientalium - Mkusanyo wa Sheria za Makanisa ya Mashariki (katika Kilatini pamoja na sehemu sambamba)
- Instruction for Applying the Liturgical Prescriptions of the Code of Canons of the Eastern Churches Archived 25 Aprili 2009 at the Wayback Machine. - Hati ya Idara ya Papa kwa Makanisa ya Mashariki kuhusu liturujia
- Ujuzi wa msingi kuhusu Makanisa hayo Archived 17 Mei 2011 at the Wayback Machine.
- CNEWA Idara ya Papa inayosaidia Makanisa hayo Archived 9 Machi 2009 at the Wayback Machine.
- Sura ya Idara ya Papa kwa Makanisa hayo
- Takwimu za Makanisa hayo Archived 27 Juni 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kanisa Katoliki la Kimelkiti kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |