Esarkia ya Kitume
Mandhari
Esarkia ya Kitume ni jina la jimbo lisilokamilika la Makanisa Katoliki ya Mashariki ambalo linaongozwa na askofu kwa niaba ya Papa wa Roma.
Tofauti na hayo, esarkia nyingine zinaongozwa na askofu kwa niaba ya Patriarki au Askofu Mkuu Kabisa.
Likiendelea kukua, hatimaye esarkia linafanywa kuwa jimbo kamili, ambalo katika Ukristo wa Mashariki linaitwa eparkia.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Esarkia ya Kitume kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |