Askofu mkuu kabisa
Mandhari
(Elekezwa kutoka Askofu Mkuu Kabisa)
Askofu mkuu kabisa ni cheo cha pekee kinachopatikana katika Makanisa Katoliki ya Mashariki 4 kati ya 22.
Askofu huyo anaongoza mojawapo kwa mamlaka inayofanana na ile ya Patriarki, lakini hapewi na Papa jina hilo kwa sababu za kiekumeni, yaani kwa kuzingatia upinzani wa Waorthodoksi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Orodha ya Maaskofu wakuu kabisa wote by Giga-Catholic Information