Aksaray

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:19, 11 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q182025 (translate me))
Aksaray kama jinsi inavyoonekana katika eneo lenye rangi ya njano.

Aksaray ni mji uliopo Anatolia ya Kati nchini Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Aksaray. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, idadi ya wakazi waishio katika wilaya hiyo ni 236,560 ambao wengine 129,949 wanaishi katika mji wa Aksaray.[1][2] Wilaya imechukua eneo la km 4,589 (na 1,772 sq mi),[3] na wastani wa mapolomoko ni m 980 (na ft 3,215), na kilele kirefu cha Mlima Hasan mnamo 3,253 m (na ft 10,673).

Historia

Maelezo

Marejeo

  1. Taasisi ya Takwimu ya Watu ya Uturuki. "Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey" (XLS) (kwa Turkish). Iliwekwa mnamo 2008-04-02. 
  2. GeoHive. "Statistical information on Turkey's administrative units". Iliwekwa mnamo 2008-04-02. 
  3. Statoids. "Statistical information on districts of Turkey". Iliwekwa mnamo 2008-04-12. 

Viungo vya nje


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aksaray kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.