Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Sahara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bendera ya Sahara ya Magharibi
Wito: Uhuru, Demokrasia, Umoja
Lugha rasmi Ḥassānīya Kiarabu na Kihispania
Mji mkuu na mji mkubwa Laâyoune – (kwa maandishi ya Kimoroko: (El Aaiún, al-'uyūn))
Rais (serikali ya nje) Brahim Ghali
Waziri mkuu (serikali ya nje) Abdelkader Taleb Oumar
Eneo
- jumla
- % maji

266,000 km²
---
Wakazi
- Jumla
- Wakazi/km²

267,405 (Julai 2004 kadirio)
1/km²
Uhuru
- Imetangazwa
- Imetawaliwa
Kutoka Hispania
27.02.1976
na Moroko
Pesa Dirham ya Moroko Dirham (MAD)
Wakati UTC 0
Wimbo wa Taifa Yābaniy Es-Saharā (listen Archived 7 Machi 2008 at the Wayback Machine.)
Sahara ya Magharibi - Eneo lililo chini ya serikali ya Jamhuri ya Sahara lina rangi ya njano.

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Sahara ni jina rasmi la dola ambalo liko hasa nje ya eneo lake la Sahara ya Magharibi.

Serikali yake inatawala kanda la mashariki ya nchi, nje ya ukuta wa Kimoroko na makambi ya wakimbizi 155,000 ndani ya Algeria.

Jamhuri ilitangazwa na chama cha Polisario mwaka 1976 baada ya kuondoka kwa Hispania katika koloni lake la awali. Lakini sehemu kubwa ya eneo ilivamiwa mara na kutawaliwa na Moroko hadi leo.

Serikali imo mikononi mwa Polisario. Rais ya Jamhuri ni Katibu Mkuu wa Polisario Mohamed Abdelaziz. Nchi 53 zimekubali kuitambua Jamhuri kuwa nchi huru.

Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Sahara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.