Visiwa vya Kanari : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: sc:Isulas Canarias
No edit summary
Mstari 35: Mstari 35:
|}
|}

[[Picha:Locator map of Canary.png|thumb|left|Visiwa vya Kanari na Hispania]]
[[Picha:Locator map of Canary.png|thumb|Visiwa vya Kanari na Hispania]]
'''Visiwa vya Kanari''' ([[Kihispania]]: Islas Canarias) ni [[funguvisiwa]] ya [[Afrika ya Kaskazini]] katika bahari ya [[Atlantiki]]. Kisiasa ni [[jimbo la kujitawala la Hispania]]. Viko baharini 150 km upande wa magharibi ya [[Moroko]]. Umbali na Hispania ni masaa mawili kwa ndege.

Mstari 58: Mstari 58:

Miji mikubwa ni Las Palmas de Gran Canaria (wakazi 378.628), Santa Cruz de Tenerife (wakazi 221.567), San Cristóbal de la Laguna (wakazi 141.627), Telde (wakazi 96.547) na Arona (79.377).
Miji mikubwa ni Las Palmas de Gran Canaria (wakazi 378.628), Santa Cruz de Tenerife (wakazi 221.567), San Cristóbal de la Laguna (wakazi 141.627), Telde (wakazi 96.547) na Arona (79.377).
[[Picha:Canarias-rotulado.png|thumb|450px|left|Ramani ya Visiwa vya Kanari]]
[[Picha:Canarias-rotulado.png|thumb|450px|Ramani ya Visiwa vya Kanari]]
Idadi ya wakazi wa visiwa ni kama ifuatayo:
Idadi ya wakazi wa visiwa ni kama ifuatayo:

* Tenerife - 838.877
* Tenerife - 906.854
* Gran Canaria - 802.247
* Gran Canaria - 802.247
* Lanzarote - 123.039
* Lanzarote - 123.039
Mstari 77: Mstari 77:

Baada ya Wahispania kufika Amerika Las Palmas ilikuwa bandari muhimu ya safari za Atlantiki.
Baada ya Wahispania kufika Amerika Las Palmas ilikuwa bandari muhimu ya safari za Atlantiki.

[[Picha:Echium Wildpretii at The Teide.jpg|200px|thumb|left|[[Teide]], [[Tenerife]]]]
[[Picha:Watalii Fuerteventura.jpg|thumb|left|200px|Watalii mwambanoni Fuerteventura]]

== Uchumi ==
== Uchumi ==
Kutokana na uzuri wa nchi na hali ya hewa ambayo ni poa mwaka wote [[utalii]] imekuwa nguzo ya uchumi wa visiwa vya Kanari pamoja na kilimo cha mazao ya sokoni yanoyopelekwa Ulaya, hasa ndizi na tumbaku.

<gallery>
Picha:Echium Wildpretii at The Teide.jpg|[[Teide]], [[Tenerife]]
Picha:Watalii Fuerteventura.jpg|Watalii mwambanoni Fuerteventura
</gallery>

{{Afrika}}
{{Afrika}}

Pitio la 17:07, 3 Juni 2011

Comunidad Autonoma de
Canarias
Jimbo la Kujitawala la Visiwa vya Kanari
Miji Mikuu Santa Cruz de Tenerife
Las Palmas de Gran Canaria
Eneo

 - jumla
 - % za Hispania

7.447 km²
1,5%

Wakazi

 - jumla (2003)
 - % za Hispania
 - Msongamano wa watu

1.843.755
4,4%
247,58 ab./km²

Uwakilishi bungeni

 Nafasi za bunge la wananchi (Congresso)
 Nafasi kwenye bunge la majimbo (Senato)

14
2

Rais wa serikali ya Kanari Adán Martín Menis (CC)
Tovuti rasmi Gobierno de Canarias
Visiwa vya Kanari na Hispania

Visiwa vya Kanari (Kihispania: Islas Canarias) ni funguvisiwa ya Afrika ya Kaskazini katika bahari ya Atlantiki. Kisiasa ni jimbo la kujitawala la Hispania. Viko baharini 150 km upande wa magharibi ya Moroko. Umbali na Hispania ni masaa mawili kwa ndege.

Utawala

Kisiasa visiwa ni kati ya maeneo ya kujitawala ndani ya ufalme wa Hispania.

Visiwa vikubwa ni saba:

El Hierro, La Gomera, La Palma na Tenerife ambavyo ni mkoa wa Santa Cruz de Tenerife,

halafu Gran Canaria, Fuerteventura na Lanzarote ambavyo ni mkoa wa Las Palmas,

tena visiwa vidogo sita vya Alegranza, Kisiwa cha Lobos, La Graciosa, Montaña Clara, Roque del Este na Roque del Oeste, vyote vya Las Palmas.

Miji mikuu ni Santa Cruz de Tenerife na Las Palmas de Gran Canaria.

Makao ya mkuu wa serikali ya eneo huhamahama kati ya miji hii miwili kila baada ya miaka minne.

Wakazi

Jumla ya wakazi kufuatana na sensa ya mwaka 2005 ni 1,968,280. Mkoa wa Las Palmas una wakazi 1.011.928 katika tarafa 33, mkoa wa Santa Cruz de Tenerife una watu 956.352 katika tarafa 52.

Miji mikubwa ni Las Palmas de Gran Canaria (wakazi 378.628), Santa Cruz de Tenerife (wakazi 221.567), San Cristóbal de la Laguna (wakazi 141.627), Telde (wakazi 96.547) na Arona (79.377).

Ramani ya Visiwa vya Kanari

Idadi ya wakazi wa visiwa ni kama ifuatayo:

  • Tenerife - 906.854
  • Gran Canaria - 802.247
  • Lanzarote - 123.039
  • Fuerteventura - 86.642
  • La Palma - 85.252
  • La Gomera - 21.746
  • El Hierro - 10.477

Historia

Visiwa vya Kanari vilitembelewa zamani na wasafiri Wafinisia, Wagiriki na Waroma, baadaye na Waarabu. Katika Ulaya visiwa vilisahauliwa hadi mnamo mwaka 1400.

Viisiwa vilikaliwa na wazalendo walioitwa Guancha na Wahispania walipofika Kanari. Hakuna uhakika kuhusu asili yao. Wataalamu wengine hufikiri walikuwa Waberber. Wengine husema walikuwa wafungwa walioachiwa huru visiwani wakati wa Dola la Roma.

Wakati wa kufika kwa Wahispania kuanzia mwaka 1400 walikuwa na utamaduni bila chuma wanasemekana hawakujua usafiri wa bahari. Katika muda wa karne moja Wahispania walivamia visiwa na kukandamiza utamaduni wa wenyeji. Lugha yao imekwisha kabisa ingawa kuna bado majina ya mahali visiwani kutokana na lugha ya Kiguancha.

Baada ya Wahispania kufika Amerika Las Palmas ilikuwa bandari muhimu ya safari za Atlantiki.

Uchumi

Kutokana na uzuri wa nchi na hali ya hewa ambayo ni poa mwaka wote utalii imekuwa nguzo ya uchumi wa visiwa vya Kanari pamoja na kilimo cha mazao ya sokoni yanoyopelekwa Ulaya, hasa ndizi na tumbaku.

Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira