Nenda kwa yaliyomo

Las Palmas de Gran Canaria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jiji la Las Palmas de Gran Canaria
Nchi Hispania
Communidad autónoma Visiwa vya Kanari
Provincia Gran Canaria
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 376 953
Kanisa kuu la Santa Ana
Mapwa ya Las Canteras
Mahali pa Las Palmas kisiwani

Las Palmas de Gran Canaria (kifupi: Las Palmas) ni mji wa Hispania kaskazini-mashariki mwa kisiwa cha Gran Canaria. Una wakazi 379,925 (2019)[1].

Las Palmas ni makao makuu ya utawala wa kisiwa cha Gran Canaria na moja kati ya miji mikuu miwili ya funguvisiwa la Kanari inayojitawala ndani ya Hispania. Visiwa vya Kanari vimo katika sehemu ya Kiafrika ya bahari ya Atlantiki. Tangu 1982 ni mji mkuu pamoja na Santa Cruz de Tenerife. Kila baada ya miaka minne mmoja kati ya miji hiyo miwili unashika nafasi ya kuwa mji mkuu.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Cifras oficiales de población resultantes de la revisión del Padrón municipal a 1 de enero. Detalle municipal". INE.
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Las Palmas de Gran Canaria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.