Wilaya ya Nyeri
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Wilaya ya Nyeri | |
| Nembo ya Kenya | |
| Mahali pa Wilaya ya Nyeri katika Kenya | |
| Nchi | Kenya |
|---|---|
| Mkoa | Kati |
| Mji mkuu | Nyeri |
| Eneo | |
| - Wilaya | 3,356 km² |
| Idadi ya wakazi (1999 Sensa[1]) | |
| - Mji | 533,969 |
Wilaya ya Nyeri ni wilaya katika mkoa wa Kati nchini Kenya. Una makau makuu yake katika mji wa Nyeri. Ina jumla ya wakaazi 661,156 na ukubwa wa eneo la kilomita mraba 3,356 [1]. Wilaya hii iko katika maeneo ya kusini mashariki mwa Mlima Kenya. Wakaazi wenyeji ni haswa wa kabila la Wakikuyu.
Yaliyomo |
Serikali za Mitaa [hariri]
| Serikali ya Mitaa | Aina | Idadi ya Watu | Wakaazi wa mjini* |
|---|---|---|---|
| Nyeri | Manispaa | 98,908 | 46,969 |
| Karatina | Manispaa | 6,852 | 6,852 |
| Othaya | Mji | 21,427 | 4,108 |
| Nyeri county | Baraza la mji | 533,969 | 10,047 |
Maeneo ya utawala [hariri]
| Tarafa | Idadi ya Watu | Wakazi wa mjini* | Makao makuu |
|---|---|---|---|
| Kieni east | 83,635 | 2,643 | Naro Moru |
| Kieni west | 68,461 | 5,017 | Mweiga |
| Mathira | 150,998 | 6,275 | Karatina |
| Mukurwe-ini | 87,447 | 1,525 | Kiahungu |
| Nyeri municipality | 101,238 | 40,497 | Nyeri |
| Othaya | 88,291 | 3,846 | Othaya |
| Tetu | 80,100 | 0 |
Maeneo Bunge [hariri]
Wilaya hii ina maeneo bunge sita:
- Eneo Bunge la Tetu
- Eneo Bunge la Kieni
- Eneo Bunge la Mathira
- Eneo Bunge la Othaya
- Eneo Bunge la Mukurweini
- Eneo Bunge la Nyeri Town
Marejeo [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
Kigezo:Wilaya ya Nyeri Kigezo:Wilaya za Kenya Kigezo:Mlima Kenya