Wilaya ya Kuria
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Kuria ni wilaya iliyopo katika Mkoa wa Nyanza , Jamhuri ya Kenya. Makao makuu yake yako Kehancha mjini.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Nyanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kuria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |