Wilaya ya Laikipia
| Wilaya ya Laikipia | |
| Nembo ya Kenya | |
| Mahali pa Wilaya ya Laikipia katika Kenya | |
| Nchi | Kenya |
|---|---|
| Mkoa | Bonde la Ufa |
| Mji mkuu | Nanyuki |
| Eneo | |
| - Wilaya | 9,229 km² |
| Idadi ya wakazi (1999 Sensa[1]) | |
| - Mji | 322,187 |
Wilaya ya Laikipia ni moja kati ya wilaya sabini na moja za Kenya , iliyoko kwenye Ikweta katika Mkoa wa Bonde la Ufa . Wilaya hii ina vituo viwili vikuu vya soko: Nanyuki kwenye upande wa kusini mashariki , na Nyahururu kwenye upande wa kusini magharibi. Makao makuu yake ni mji wa Nanyuki.
Idadi ya 0}Wakikuyu takribani 60% ya idadi ya watu wote kwenye wilaya hii, huku idadi iliyosalia ikijumuisha watu wa makabila zingine, ni pamoja na Mukogodo Masai, Wasamburu, Wameru, Waborana, Wakalenjin, Wasomali, Wazungu, Watu wa asili ya Asia, na Waturkana, wakiipa wilaya hii idadi ya watu tofauti tofauti. Mashamba mengi yanamilikiwa na idadi ndogo ya masetla wa ukoloni.
Shughuli kuu za kiuchumi katika wilaya hii ni utalii na kilimo, haswa mimea za mbegu, ufugaji na kilimo cha maua,matunda na mboga.
Hali ya hewa ya wilaya hii ni ya cool temperate,ikiwa na misimu za mvua na kiangazi.
| Serikali za Mtaa (Mabaraza) | |||
| Baraza | Aina | Idadi ya Watu* | Wakaazi wa mjini* |
|---|---|---|---|
| Nanyuki | Manispaa | 39,838 | 31,577 |
| Nyahururu | Manispaa | 32,120 | 24,751 |
| Rumuruti | Mji | 31,649 | 4,249 |
| Laikipia | Kaunti | 218,580 | 3,610 |
| Jumla | - | 322,187 | 64,187 |
| * 1999 census. Source: [1] | |||
| Maeneo ya utawala | |||
| Tarafa | Idadi ya Watu* | Wakaazi wa mjini* | Makao makuu |
|---|---|---|---|
| Mkoa wa Kati | 77,478 | 28,489 | Nanyuki |
| Lamuria | 38,517 | 0 | Lamuria |
| Mukogondo | 13,176 | 624 | |
| Ngarua | 65,545 | 2,813 | Kinamba |
| Nyahururu | 37,412 | 22,459 | Nyahururu |
| Olmoran | 11,069 | 0 | |
| Rumuruti | 78,894 | 4,061 | Rumuruti |
| Jumla | 322,187 | 58,466 | - |
| * 1999 census. Sources: [2], [3], | |||
Wilaya hii ina Majimbo ya Uchaguzi mawili: