Wilaya ya Nandi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Wilaya ya Nandi | |
| Nembo ya Kenya | |
| Mahali pa Wilaya ya Nandi katika Kenya | |
| Nchi | Kenya |
|---|---|
| Mkoa | Bonde la Ufa |
| Mji mkuu | Kapsabet |
| Eneo | |
| - Wilaya | 2,899 km² |
| Idadi ya wakazi (1999 Sensa[1]) | |
| - Mji | 578,751 |
Wilaya ya Nandi ni wilaya ya utawala katika Mkoa wa Bonde la Ufa nchini Kenya. mji mkuu wake ni Kapsabet. Wilaya hii ina jumla ya wakaazi 578,751 (sensa ya 1999) [1].
Maumbile ya wilaya hii yamejawa na Milima ya Nandi. Wakaazi wenyeji ni haswa wa kabila la Wanandi.
Wilaya ya Nandi ni maarufu kwa kuwa nyumbani kwa wakimbiaji wengi Wakenyan , iwakiwemo Kipchoge Keino, Henry Rono, Moses Tanui na Bernard Lagat.
Yaliyomo |
Serikali za Mitaa [hariri]
| Serikali ya Mtaa | Aina | Idadi ya Watu | Wakaazi wa mjini* |
|---|---|---|---|
| Kapsabet | Manispaa | 64,830 | 17,918 |
| Nandi Hills | Mji | 63,134 | 3,575 |
| Nandi county | Baraza la Mji | 450,787 | 3,156 |
Maeneo ya utawala [hariri]
| Tarafa | Idadi ya Watu | Wakazi wa mjini* | Makao makuu |
|---|---|---|---|
| Aldai | 96,220 | 200 | Kobujoi |
| Kabiyet | 43,367 | 751 | Kabiyet |
| Kapsabet | 125,115 | 16,942 | Kapsabet |
| Kaptumo | 26,782 | 150 | Kaptumo |
| Kilibwoni | 62,692 | 116 | Kilibwoni |
| Kipkaren | 52,753 | 0 | |
| Kosirai | 35,383 | 957 | |
| Nandi Hills | 77,514 | 3499 | Nandi Hills |
| Tinderet | 58,925 | 0 |
Maeneo Bunge [hariri]
Wilaya hii ina Maeneo Bunge nne: