Wilaya ya Embu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Wilaya ya Embu | |
| Nembo ya Kenya | |
| Mahali pa Wilaya ya Embu katika Kenya | |
| Nchi | Kenya |
|---|---|
| Mkoa | Mashariki |
| Mji mkuu | Embu |
| Eneo | |
| - Wilaya | 729 km² |
| Idadi ya wakazi (1999 Sensa[1]) | |
| - Mji | 278,196 |
Wilaya ya Embu ni wilaya za Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya. Makao makuu yake iko Embu mjini.
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mashariki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Embu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |