Wilaya ya Butere/Mumias
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Butere/Mumias ni wilaya za Mkoa wa Magharibi wa Jamhuri ya Kenya. Makao makuu yake iko Butere mjini.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Magharibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Butere/Mumias kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |