Wilaya ya Trans Mara
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Trans Mara ni wilaya ya utawala katika Mkoa wa Bonde la Ufa nchini Kenya. Mji mkuu wake ni Kilgoris. Wilaya hii ina jumla ya wakaazi 170,591 (sensa ya 1999) na ukubwa wa eneo wa kilomita mraba 2,846 [1]. Iliundwa mwaka wa 1994, wakati wilaya ya Trans Mara ilivunjwa kutoka kwa Wilaya ya Narok.
Mara Triangle (ambayo ni sehemu ya hifadhi ya Masai Mara)iko katika wilaya ya Trans-Mara.
Wilaya hii ina tu serikali moja ya mtaa, Baraza la Mji wa Trans Mara. Eneo Bunge la Kilgoris ndilo eneo bunge la pekee katika wilaya hii.
| Maeneo ya utawala | |||
| Tarafa | Idadi ya Watu* | Wakaazi wa mjini* | Makao makuu |
|---|---|---|---|
| Keiyan | 25,885 | 1,277 | Enoosaen |
| Kilgoris | 31,827 | 4,497 | Kilgoris |
| Kirindoni | 56,197 | 0 | |
| Lolgorian | 25,553 | 1,410 | Lolgorien |
| Pirrar | 31,129 | 0 | |
| Jumla | 170,591 | 7,184 | - |
| * Sensa ya 1999 census|. Sources:[1][2] | |||
Viungo vya nje[hariri]
Kigezo:Wilaya ya Trans Mara Kigezo:Wilaya za Kenya
Cite error: <ref> tags exist, but no <references/> tag was found