Wilaya ya Marakwet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wilaya ya Marakwet ni wilaya ya utawala katika Mkoa wa Bonde la Ufa nchini Kenya. Mji mkuu wake ni Kapsowar. Wilaya hii ina jumla ya wakaazi 140,629 [1]. Wakaazi wenyeji ni haswa wa kabila la Wamarakwet.

Wilaya hii iliundwa mweaka wa 1927 kama Wilaya ya Elgeyo/Marakwet District . Iligawanywa mara mbili na kuunda Wilaya ya Keiyo na Marakwet mwaka wa 1994.

Wakimbiaji wengi mashuuri Wakenyan hutoka Marakwet, na wanaojulikana ni pamoja na Moses Kiptanui, Evans Rutto, Reuben Kosgei , Ezekiel Kemboi na Richard Chelimo.

Wilaya hii ina tu serikali moja ya mtaa, Baraza la Mji wa Marakwet. Kwa hivyo, idadi yake ya watu ni sawa na idadi ya wilaya (140,629). Baraza na Wilaya haina idadi ya wakaazi wanaotambulika kama wakaazi wa mjini (sensa ya 1999 census [2].

[hariri] Maeneo ya utawala

}}

Tarafa Idadi ya Watu Makao makuu
Chebiemit 18,559 Chebiemit
Kapcherop 39,328 Kapsowar
Kapsowar 19,647 Kapsowar
Kapyego 11,452 Kapyego
Tirap 23,311 Kapchebau
Tot 17,744 Tot
Tunyo 10,588

[hariri] Maeneo Bunge

Wilaya hii ina maeneo bunge mawili :

[hariri] Marejeo

  1. Communications Commission of Kenya: Status of Coverage of Communications Services
  2. Kenya National Bureau of Statistics: Population of local authorities

Kigezo:Wilaya za Kenya

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine